Font Size
Matayo 26:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
32 Lakini baada ya kufufuka, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
33 Petro akasema, “Hata kama wote watakuacha, mimi sitaku acha.”
34 Yesu akamjibu, “Ninakuambia kweli, usiku huu huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica