Font Size
Matayo 26:37-39
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:37-39
Neno: Bibilia Takatifu
37 Akamchukua Petro, pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kufadhaika na kuhuzunika. 38 Kisha Yesu akawaambia, “Moyo wangu umejaa majonzi karibu ya kufa. Kaeni hapa mkeshe pamoja nami.”
39 Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi akaomba, “Baba yangu, kama inawezekana, niondolee kikombe hiki cha mateso, lakini si kama nipendavyo bali kama upendavyo wewe.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica