Font Size
Matayo 26:51-53
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:51-53
Neno: Bibilia Takatifu
51 Ndipo mmojawapo wa wafuasi wa Yesu ali poona hivyo, akachukua panga lake, akampiga nalo mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. 52 Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga. 53 Unadhani siwezi kumwomba Baba yangu aniletee mara moja majeshi kumi na mbili ya malaika?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica