Font Size
Matayo 26:60-62
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:60-62
Neno: Bibilia Takatifu
60 lakini hawakupata, ingawa mashahidi wengi wa uongo walijitokeza. Hatimaye wakajitokeza watu wawili, 61 wakasema: “Huyu mtu alisema, ‘Nina uwezo wa kuvunja Hekalu la Mungu na kulijenga tena katika muda wa siku tatu .’ ”
62 Kisha kuhani mkuu akasimama, akamwambia Yesu, “Huna jibu? Husikii huo ushahidi waliotoa watu hao?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica