Font Size
Matayo 26:71-73
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 26:71-73
Neno: Bibilia Takatifu
71 Kisha alipotoka nje, mlangoni mtumishi mwingine wa kike alimwona, akawaambia watu waliokuwapo, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.” 72 Akakana tena kwa kiapo akisema, “Simfa hamu mtu huyo!” 73 Baada ya muda mfupi wale waliokuwa wamesi mama pale walimwendea Petro wakamwambia, “Hakika wewe ni mmoja wao kwa maana namna yako ya kusema ni kama yao.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica