Font Size
Matayo 27:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 27:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Kwa hiyo shamba hili limeitwa ‘Shamba la damu’ hadi leo. 9 Ndipo yakatimia yale aliyonena nabii Yeremia kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na wana wa Israeli, 10 wakanunulia shamba la mfinyanzi kama Bwana alivyon iagiza.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica