Font Size
Matayo 3:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 3:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
3 Huyu ndiye aliyezungumzwa na nabii Isaya aliposema, “Sauti ya mtu anayeita kwa sauti kubwa huko nyikani, ‘Tayarisheni njia ya Bwana, nyoosheni sehemu zote atakazopitia.’ ”
4 Yohana Mbatizaji alivaa nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya ngamia na kiunoni mwake alijifunga mkanda wa ngozi; chakula chake kilikuwa nzige na asali mwitu. 5 Watu walimwendea kutoka Yerusalemu, Yudea yote na bonde lote la mto Yordani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica