Nao walipoungama dhambi zao aliwabatiza katika mto Yordani. Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili awabatize, aliwaambia, “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya muepuke ghadhabu inayokuja? Basi thibitisheni kwa mwenendo mwema kwamba mmeziacha dhambi zenu.

Read full chapter