Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili awabatize, aliwaambia, “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya muepuke ghadhabu inayokuja? Basi thibitisheni kwa mwenendo mwema kwamba mmeziacha dhambi zenu. Wala msidhani mnaweza kujitetea mkisema, ‘Sisi ni wana wa Ibrahimu

Read full chapter