Font Size
Matayo 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Utabiri wa nabii Isaya ukatimia, kama alivyosema: 15 “Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya watu wa mataifa - 16 watu wale waishio katika giza wameona nuru kuu; na kwa wale wanaoishi katika nchi ya giza la mauti, nuru imewaangazia.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica