26 nami nawaambia hakika, hutatoka huko mpaka deni lako lote litakapolipwa.”

Mafundisho Kuhusu Uzinzi

27 “Mmesikia walivyowafundisha watu wa zamani kwamba, ‘Usi zini’. 28 Lakini mimi nawaambia: ye yote atakayemwangalia mwa namke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Read full chapter