Font Size
Matayo 5:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
34 Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa, ama kwa mbingu, kwa sababu ni kiti cha enzi cha Mungu, 35 au kwa ardhi, kwa sababu ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalemu kwa sababu ndio mji wa Mfalme mkuu. 36 Na msiape kwa vichwa vyenu kwa sababu hamwezi kugeuza hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica