Font Size
Matayo 5:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Mafundisho Kuhusu Kulipiza Kisasi
38 “Mmesikia kuwa watu zamani walikuwa wakisema, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39 Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini mtu akikupiga kwenye shavu la kulia, mgeuzie na shavu la kushoto pia; 40 na kama mtu akitaka kukushtaki achukue shati lako, mwachie achukue na koti pia.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica