Font Size
Matayo 5:45-47
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 5:45-47
Neno: Bibilia Takatifu
45 ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaanga zia jua lake watu waovu na watu wema; na pia huleta mvua kwa wenye haki na wasio haki. 46 Kama mkiwapenda wanaowapenda tu, mtapata thawabu gani? Hata wenye dhambi hufanyiana hivyo. 47 Na kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, mnafanya nini zaidi ya wengine? Hata watu wa mataifa wasiomjua Mungu, hufanya hivyo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica