Font Size
Matayo 6:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 6:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 “Kwa hiyo mnapowasaidia maskini msitangaze kwa tarumbeta kama wafanyavyo wanafiki katika masinagogi na mitaani ili wasi fiwe na watu. Nawaambia wazi, wao wamekwisha pata tuzo yao. 3 Lakini ninyi mnapotoa sadaka, fanyeni kwa siri, hata mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kulia unafanya nini; 4 ili sadaka yako iwe ni siri. Naye Baba yako wa mbinguni anayeona sirini ata kupa thawabu.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica