Font Size
Matayo 6:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 6:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
26 Waangalieni ndege wa angani: wao hawapandi wala kuvuna wala kuweka cho chote ghalani. Lakini Baba yenu wa mbinguni anawali sha. Je ninyi, si wa thamani zaidi kuliko ndege? 27 Ni nani kati yenu ambaye kwa kujihangaisha kwake anaweza kujiongezea hata saa moja zaidi kwenye maisha yake?
28 “Na kwa nini mnahangaikia mavazi? Angalieni maua ya mwi tuni yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayashoni nguo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica