Font Size
Matayo 7:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Usihukumu Wengine
7 Usihukumu ili na wewe usihukumiwe. 2 Kwa maana hukumu uta kayotamka juu ya wenzako ndio itakayotumiwa kukuhukumu, na kipimo utakachotoa ndicho utakachopokea. 3 Kwa nini unaangalia kijiti kidogo kilichomo katika jicho la ndugu yako na wala huoni pande la mti lililoko jichoni mwako?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica