Font Size
Matayo 7:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Siku ile itakapofika wengi wata niambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’ 23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’
Nyumba Iliyojengwa Kwenye Mwamba
24 “Basi, kila anayesikiliza haya maneno yangu na kuyate keleza, atafanana na mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica