Font Size
Matayo 7:24-26
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:24-26
Neno: Bibilia Takatifu
Nyumba Iliyojengwa Kwenye Mwamba
24 “Basi, kila anayesikiliza haya maneno yangu na kuyate keleza, atafanana na mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba. 25 Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja na upepo uka vuma ukaipiga nyumba hiyo, lakini haikuanguka kwa sababu ili jengwa kwenye msingi imara juu ya mwamba. 26 Na kila anayesikia haya maneno yangu asiyafuate, atafanana na mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica