Font Size
Matayo 7:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 7:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Mnafiki wewe! Toa kwanza pande lililoko jichoni mwako, ndipo utaweza kuona vema, upate kukitoa kipande kilichoko ndani ya jicho la ndugu yako.
6 “Msiwape mbwa vitu vitakatifu; na msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe wasije wakazikanyaga kanyaga na halafu wawageukie na kuwashambulia.”
Omba, Tafuta, Bisha Hodi
7 “Ombeni nanyi mtapewa. Tafuteni nanyi mtapata; bisheni hodi nanyi mtafunguliwa mlango.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica