Font Size
Matayo 9:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 9:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 kwa maana alisema moyoni mwake, “Nikigusa tu nguo yake, nitaponywa.” 22 Yesu akageuka, na alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo, imani yako imekuponya.” Na wakati huo huo yule mwanamke akapona.
Yesu Amfufua Binti Wa Afisa
23 Yesu alipofika nyumbani kwa yule afisa, aliwakuta waom bolezaji wanapiga filimbi za maombolezo na watu wengi wakipiga kelele.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica