Font Size
Matayo 9:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 9:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Yesu akageuka, na alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo, imani yako imekuponya.” Na wakati huo huo yule mwanamke akapona.
Yesu Amfufua Binti Wa Afisa
23 Yesu alipofika nyumbani kwa yule afisa, aliwakuta waom bolezaji wanapiga filimbi za maombolezo na watu wengi wakipiga kelele. 24 Akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica