Font Size
Matayo 9:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 9:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
26 Habari hizi zikaenea wilaya ile yote.
Yesu Aponya Vipofu
27 Yesu alipoondoka pale, vipofu wawili walimfuata wakipiga kelele kwa nguvu, “Mwana wa Daudi, tuhurumie.” 28 Alipoingia ndani wale vipofu walimfuata. Akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kuwafanya muone?” Wakamjibu, “Ndio Bwana.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica