Font Size
Matayo 9:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 9:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
30 Macho yao yakafunguka. Naye akawaonya, “Angalieni mtu ye yote asijue jambo hili.” 31 Lakini wao walipoondoka walieneza sifa zake katika ile wilaya yote.
Yesu Amponya Bubu
32 Walipokuwa wakiondoka, watu walimletea mtu bubu, ali yekuwa amepagawa na pepo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica