Font Size
Matayo 9:31-33
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 9:31-33
Neno: Bibilia Takatifu
31 Lakini wao walipoondoka walieneza sifa zake katika ile wilaya yote.
Yesu Amponya Bubu
32 Walipokuwa wakiondoka, watu walimletea mtu bubu, ali yekuwa amepagawa na pepo. 33 Na yule pepo alipofukuzwa, yule aliyekuwa bubu aliweza kusema. Ule umati wa watu wakastaajabu, wakasema, “Jambo kama hili halijawahi kuonekana katika Israeli.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica