Font Size
Matendo 27:17-19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Matendo 27:17-19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
17 Baada ya watu kuleta mtumbwi wa kuokolea, wakaifunga meli kamba kuizungushia ili iendelee kushikamana isipasuke. Waliogopa kwamba meli ingekwama kwenye mchanga wa pwani ya Sirti.[a] Hivyo walishusha tanga na kuiacha meli ichukuliwe na upepo.
18 Siku iliyofuata upepo ulivuma kinyume nasi kwa nguvu kiasi kwamba watu walitupa baadhi ya vitu kutoka katika shehena ya meli.[b] 19 Siku moja baadaye wakatupa vifaa vya meli.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International