Font Size
Matendo 4:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Matendo 4:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Waliwakamata Petro na Yohana. Kwa kuwa ilikuwa jioni tayari, waliwaweka gerezani usiku ule mpaka siku iliyofuata. 4 Lakini watu wengi waliowasikia mitume waliamini walichosema. Na siku hiyo idadi ya watu katika kundi la waamini ikafikia watu 5,000.
5 Siku iliyofuata, watawala wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria walikutana Yerusalemu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International