Font Size
Matendo Ya Mitume 15:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 15:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Wayahudi. 28 Wakakaa huko na wale wanafunzi kwa muda mrefu.
Baraza La Yerusalemu
15 Watu wengine walikuja Antiokia kutoka Yudea wakawa wakiwa fundisha ndugu walioamini kwamba, “Kama hamkutahiriwa kufuatana na desturi iliyofundishwa na Musa hamwezi kuokolewa.” 2 Paulo na Barnaba walikuwa na mabishano makali nao wakipinga mafundisho haya. Ikaamuliwa kwamba Paulo na Barnaba na waamini wengine waende Yerusalemu wakawaulize mitume na wazee juu ya jambo hili. 3 Kwa hiyo, wakiwa wametumwa na kanisa, njiani walipitia makanisa ya Foenike na Samaria wakatoa taarifa jinsi watu wa mataifa men gine walivyokuwa wakimgeukia Bwana. Habari hizi ziliwafurahisha sana hao ndugu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica