Font Size
Matendo Ya Mitume 15:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 15:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuwatwika hawa ndugu wanafunzi mzigo wa sheria ambao baba zetu na sisi tumesh indwa kuubeba? 11 Sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana wetu Yesu, kama na wao wanavyookolewa.” 12 Baraza lote likakaa kimya; wakawasikiliza Paulo na Barnaba wakieleza jinsi Mungu alivyowatumia kutenda ishara na maajabu kwa watu wa mataifa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica