Font Size
Matendo Ya Mitume 27:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 27:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Lakini baada ya muda mfupi upepo mkali uitwao ‘Kaskazi-mashariki’ ukavuma toka nchi kavu; 15 ukaipiga ile meli, na kwa kuwa haikuwa rahisi kushindana nao, tukaiachilia meli isukumwe kuelekea kule upepo unakokwenda. 16 Hatimaye tukasafiri kupitia nyuma ya kisiwa kidogo kiitwacho Kauda, ambapo kwa kuwa tulikuwa tumekingiwa upepo na hicho kisiwa, tuliweza kwa shida kuifunga mashua ya kuokolea watu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica