Font Size
Matendo Ya Mitume 28:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 28:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 Kwa hiyo napenda mfahamu ya kuwa wokovu wa Mungu umepelekwa kwa watu wa mataifa; wao wata sikiliza.” 29 Baada ya Paulo kusema maneno haya Wayahudi wakaondoka wakibishana vikali wao kwa wao.] 30 Kwa muda wa miaka miwili Paulo aliishi katika nyumba ya kupangisha akiwakaribisha wote waliokuja kumwona.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica