Font Size
Matendo Ya Mitume 4:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Ujasiri Wa Petro Na Yohana Washangaza Watu
13 Wale viongozi na wazee walipoona ujasiri wa Petro na Yohana na kufahamu ya kuwa walikuwa watu wa kawaida wasio na elimu walishangaa sana. Wakatambua kwamba hawa watu walikuwa na Yesu. 14 Lakini kwa kuwa walimwona yule kilema aliyeponywa ame simama nao hawakuweza kusema lo lote kupinga maneno yao. 15 Wakawaamuru watoke nje ya ule ukumbi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica