Font Size
Matendo Ya Mitume 4:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
23 Mara Petro na Yohana walipoachiliwa, walirudi kwa waamini wenzao wakawaeleza waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee. 24 Waamini wote waliposikia maneno yao walimwomba Mungu kwa pamoja wakasema, “Wewe Bwana Mtukufu, uliyeumba mbingu na nchi na bahari na kila kiumbe kilichopo, 25 wewe ulitamka kwa njia ya Roho wako mtakatifu kupitia kwa baba yetu Daudi mtumishi wako, aliposema, ‘Mbona mataifa wanaghadhabika, na watu wanawaza mambo yasiyo na maana?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica