Wakawaka mata wakawaweka jela mpaka kesho yake kwa maana ilikuwa jioni. Lakini wengi wa wale waliosikia mahubiri yao waliamini; idadi ya wanaume walioamini ilikuwa kama elfu tano.

Siku ya pili yake viongozi wa Kiyahudi, wazee na waandishi wa sheria walikusanyika Yerusalemu.

Read full chapter