Font Size
Matendo Ya Mitume 4:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
32 Waamini wote walikuwa na nia moja na moyo mmoja, wala hakuna aliyeona mali aliyokuwa nayo kuwa yake, bali walishirikiana vitu vyote kwa pamoja. 33 Na kwa uwezo mkubwa mitume wakashuhudia kwa ujasiri habari za kufufuka kwa Bwana Yesu. Mungu akawapa wote neema kuu. 34 Wala hakuwepo mtu ye yote miongoni mwa waamini aliyepungukiwa na kitu kwa sababu wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliuza vyote wakaleta fedha waliyopata
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica