Font Size
Matendo Ya Mitume 4:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
34 Wala hakuwepo mtu ye yote miongoni mwa waamini aliyepungukiwa na kitu kwa sababu wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliuza vyote wakaleta fedha waliyopata 35 kwa wale mitume; kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.
36 Ndivyo ilivyokuwa kwamba Yusufu ambaye mitume walimwita Barnaba, maana yake Mwana wa Faraja, wa ukoo wa Lawi kutoka kisiwa cha Kipro
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica