Font Size
Matendo Ya Mitume 4:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 4:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu akajibu, “Waheshimiwa viongozi na wazee wa watu, 9 kama mnatuhoji kuhusu mambo mema aliyotendewa kilema, na jinsi alivyoponywa, tungependa ninyi na watu wote wa 10 Israeli mfahamu kwamba, ni kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye ninyi mlimsulubisha lakini Mungu akam fufua kutoka kwa wafu, kwa uwezo wa Yesu, huyu mtu anasimama mbele yenu akiwa mzima kabisa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica