Font Size
Matendo Ya Mitume 5:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 5:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 “Tuliwakanya msifundishe kwa jina la huyu mtu, lakini ninyi mmeeneza mafundisho yenu Yerusalemu yote, na tena mmeamua kuwa sisi tuna hatia juu ya kifo chake.”
29 Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu na sio wanadamu. 30 Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu ambaye ninyi mlimwua kwa kumtundika kwenye msalaba.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica