Font Size
Matendo Ya Mitume 5:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 5:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
29 Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu na sio wanadamu. 30 Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu ambaye ninyi mlimwua kwa kumtundika kwenye msalaba. 31 Mungu alimwinua, akamweka mkono wake wa kuume awe Mtawala na Mwokozi ili awape wana wa Israeli toba na msamaha wa dhambi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica