Font Size
Mathayo 1:1-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 1:1-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ukoo wa Yesu
(Lk 3:23-38)
1 Hii ni historia ya ukoo wa Yesu, Masihi.[a] Alitoka katika ukoo wa Daudi, aliyetoka katika ukoo wa Ibrahimu.
2 Ibrahimu alikuwa baba yake Isaka.
Isaka alikuwa baba yake Yakobo.
Yakobo alikuwa baba wa Yuda na ndugu zake.
3 Yuda alikuwa baba wa Peresi na Zera. (Mama yao alikuwa Tamari.)
Peresi alikuwa baba yake Hezroni.
Hezroni alikuwa baba yake Ramu.
Footnotes
- 1:1 Masihi Kwa maana ya kawaida, “Kristo”, tafsiri ya Kiyunani kwa neno “Masihi”. Tazama Kristo na Masihi katika Orodha ya Maneno. Pia katika mstari wa 16-17 na katika kitabu chote hiki.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International