Font Size
Mathayo 1:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 1:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
9 Uzia alikuwa baba yake Yothamu.
Yothamu alikuwa baba yake Ahazi.
Ahazi alikuwa baba yake Hezekia.
10 Hezekia alikuwa baba yake Manase.
Manase alikuwa baba yake Amoni.
Amoni alikuwa baba yake Yosia.
11 Yosia alikuwa baba wa Yekonia[a] na ndugu zake.
Walioishi wakati ambao watu walipelekwa utumwani Babeli.
Footnotes
- 1:11 baba wa Yekonia Mfalme Nebukadneza aliuangusha mji wa Yerusalemu na kuvunja hekalu mwaka 586 KK na kuwapeleka Babeli wakiwa mateka watu Mashuhuri pamoja na vyombo vya thamani vilivyokuwa hekaluni. Tazama 1 Nya 3:15-16.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International