Add parallel Print Page Options

16 lakini aliwaonya wasiwaambie wengine yeye alikuwa nani. 17 Hii ilikuwa ni kuthibitisha kile ambacho nabii Isaya alisema alipozungumza kwa niaba ya Mungu:

18 “Hapa ni mtumishi wangu,
    niliyemchagua.
Ndiye ninayempenda,
    na ninapendezwa naye.
Nitamjaza Roho yangu,
    naye ataleta haki kwa mataifa.

Read full chapter