Add parallel Print Page Options

17 Hii ilikuwa ni kuthibitisha kile ambacho nabii Isaya alisema alipozungumza kwa niaba ya Mungu:

18 “Hapa ni mtumishi wangu,
    niliyemchagua.
Ndiye ninayempenda,
    na ninapendezwa naye.
Nitamjaza Roho yangu,
    naye ataleta haki kwa mataifa.
19 Hatabishana au kupiga kelele;
    hakuna atakayesikia sauti yake mitaani.

Read full chapter