Font Size
Mathayo 19:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 19:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
5 Na Mungu alisema, ‘Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa mmoja.’(A) 6 Hivyo wao si wawili tena, bali mmoja. Ni Mungu aliowaunganisha pamoja, hivyo mtu yeyote asiwatenganishe.”
7 Mafarisayo wakauliza, “Sasa kwa nini Musa alitoa amri ya kumruhusu mwanaume kumtaliki mke wake kwa kuandika hati ya talaka?”[a]
Read full chapterFootnotes
- 19:7 amri ya … ya talaka Tazama Kum 24:1.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International