Font Size
Mathayo 19:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 19:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
6 Hivyo wao si wawili tena, bali mmoja. Ni Mungu aliowaunganisha pamoja, hivyo mtu yeyote asiwatenganishe.”
7 Mafarisayo wakauliza, “Sasa kwa nini Musa alitoa amri ya kumruhusu mwanaume kumtaliki mke wake kwa kuandika hati ya talaka?”[a]
8 Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo.
Read full chapterFootnotes
- 19:7 amri ya … ya talaka Tazama Kum 24:1.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International