Font Size
Mathayo 26:45-47
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 26:45-47
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
45 Kisha Yesu akawarudia wafuasi wake na akasema, “Bado mnalala na kupumzika? Wakati wa Mwana wa Adamu kukabidhiwa kwa wenye dhambi umewadia. 46 Simameni! Tuondoke. Tazama yeye atakayenikabidhi anakuja.”
Yesu Akamatwa
(Mk 14:43-50; Lk 22:47-53; Yh 18:3-12)
47 Yesu alipokuwa anazungumza, Yuda mmoja wa wanafunzi wake kumi na mbili alifika akiwa na kundi kubwa la watu, waliokuwa wamebeba majambia na marungu. Walikuwa wametumwa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International