Add parallel Print Page Options

48 Yuda aliyekuwa amkabidhi Yesu kwao, alipanga kufanya kitu cha kuwajulisha yupi kati ya wafuasi alikuwa Yesu. Alisema, “Mtu nitakayembusu ndiye mtakayemkamata.” 49 Hivyo Yuda alikwenda kwa Yesu na kumwambia, “Salamu, Mwalimu!” Kisha akambusu.

50 Yesu akajibu, “Rafiki yangu, fanya ulilokuja kufanya.”

Kisha wale watu wakaja na kumkamata Yesu.

Read full chapter