Add parallel Print Page Options

61 na akasema, “Mtu huyu[a] alisema, ‘Ninaweza kuliharibu Hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu.’”

62 Kisha kuhani mkuu alisimama na kumwambia Yesu, “Huna neno lolote la kujitetea dhidi ya mashtaka haya juu yako? Wanasema kweli?” 63 Lakini Yesu hakusema neno lolote.

Kisha kuhani mkuu akamwambia Yesu, “Apa mbele za Mungu aliye hai kwamba utatuambia kweli. Je, wewe ni Masihi, Mwana wa Mungu?”

Read full chapter

Footnotes

  1. 26:61 Mtu huyu Yaani, Yesu. Adui zake walikuwa wanakwepa kutamka jina lake.