Font Size
Mathayo 26:65-67
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 26:65-67
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
65 Kuhani mkuu aliposikia hili, alilarua vazi lake kwa hasira. Akasema, “Mtu huyu amemtukana Mungu! Hatuhitaji mashahidi zaidi. Ninyi nyote mmesikia matusi yake. 66 Mnasemaje?”
Viongozi wa Kiyahudi wakajibu, “Ana hatia, na ni lazima afe.”
67 Na baadhi ya waliokuwa pale wakamtemea mate Yesu usoni na kumpiga makonde na wengine walimpiga makofi.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International