Font Size
Mathayo 27:1-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mathayo 27:1-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu Apelekwa kwa Gavana Pilato
(Mk 15:1; Lk 23:1-2; Yh 18:28-32)
27 Mapema asubuhi, viongozi wote wa makuhani na viongozi wazee walikutana na kuamua kumwua Yesu. 2 Wakamfunga kamba, wakamwondoa na kwenda kumkabidhi kwa Pilato, gavana wa Kirumi.
Yuda Ajiua
(Mdo 1:18-19)
3 Baada ya kumkabidhi Yesu, Yuda aliona kila kitu kilichotokea na kujua kuwa wameamua kumwua Yesu. Naye alihuzunika sana kutokana na kile alichokifanya. Hivyo alirudisha vile vipande thelathini vya sarafu vya fedha kwa wakuu wa makuhani na viongozi wazee.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International